Ewakala

Kuhusu Mfumo wa e-wakala.

e-wakala ni mfumo wa kompyuta ulioundwa kwa munasaba wa kudhibiti mzunguko wa fedha kwa wafanya biashara wanaotoa huduma za kifedha. Kama vile M-pesa, Tigo-pesa ,CRDB, NMB na mitandao ya kifedha kwa ujumla. Mfumo huu unauwezo wa kudhibiti mzunguko wa kifedha zaidi ya ofisi moja na kutoa taarifa za miamala, Floti na Cash, matumizi na shughuli zote za mfumo kwa ujumla. Ni rahisi kutumia na salama. Dhibiti pesa zako katika kila ofisi yako wakati wowote ule.